Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"

BK.jpg

Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.


Konje ni miongoni mwa wakenya wanao ishi Australia, alipozungumza na SBS Swahili alifunguka kuhusu motisha yaku jiunga na wanachama wenza wa jumuiya yake kuweka wazi upinzani wao kwa muswada wa fedha wa 2024.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share