Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii

left-wing-protester-melbourne-make-australia-safe-rally-2017-aap-james-ross

Masked left-wing protester is arrested for not removing a face covering at the State Library of Victoria on Sunday September 17, 2017. (AAP Image/James Ross) Source: AAP

Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.


Kuandamana si kinyume cha sheria ila, kuna wakati waandamanaji wanaweza vuka mipaka ya sheria kwa tabia mbaya au matendo yasiyo yakijamii.

Kama una andamana, fursa yakujipata katika matatizo, hutegemea ulipo na tabia yako.

Ina aminika sana kuwa wa Australia wana haki yakuandamana ila, haki hii haijawekwa wazi ndani ya katiba.

Mashirika kama Human Rights Law Centre, Amnesty International na NSW Council for Civil Liberties, hutoa taarifa sahihi kuhusu kuandamana na sheria husika kote nchini Australia.



Share